Sema neno

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
67,020
168,014
Habari wakuu,
Kama picha inavyoeleza napenda kujua maoni yetu juu ya hili hata kama Uko kwenye mahusiano ya kimapenz ya kawaida najua kwa mwenye nia mwisho wa siku huelekea kwenye hii hatua labda wale wa bado nipo nipo sana.

Kiujumla Hali zikoje huko kwenye mahusiano uliyonayo?? Je unafurahia mahusiano hayo?? Kama ndio nini chanzo cha furaha yako? Kama hapana nini chanzo cha huzuni Au kutofurahi kwako??

Kwa heshima na taadhima naomba maoni yenu ili wengine tupate kujifunza
Not only SOMETHING GOOD IS SOMETHING TODAY IMITATE but also GOOD MUST BE DONE AND EVIL MUST BE AVOIDED

1484329000330.jpg
 
Mahusiano ya siku hizi ni kuishi kwa machale tu. Ukiingia kwenye chama hicho cha kufungana ujue umeamua kuuza utu wako kabisa.
 
Vipi upande wa pili wewe binafsi unafurahia mahusiano yako?? Nini chanzo Au sababu ya furaha yako?? Maoni please
 
Maisha ya ndoa ni maisha ya kawaida kama maisha mengine, katika maisha yako ya kila siku kuna siku za furaha, siku za huzuni, siku za kucheka za kulia n.k
Sio kila anachotaka nawe utataka sio kila unachotaka wewe nae atataka hivo kutofautiana ni jambo la kawaida.
Kubali mapungufu, mvumilie uwezavyo na umuheshimu sana........
 
Asante sana nimekuelewa vizuri mno. Kwahiyo ambao hawajaingia chamani washangaike kuingia kwa sababu maisha ni ya kawaida kama maisha mengine kugombana kulia kucheka huzuni n.k?? Unasemaje hapo? Make wasichana tulio wengi tukikaa kwenye mahusiano kwa mda fulani kilio chetu ni ndoa ndoa ndoa
 
nimesema ni ya kawaida kwakua huwa kuna hofu unawaza huko kuna.nini ndo.maana nikasema ni kawaida.
kuhusu kutaka kuingia huko inategemea, unataka kuingia? na unaingia kwa sababu zipi?mashost wameingia nawe unaingia ili wakukome?umri unaenda au?
 
Vipi upande wa pili wewe binafsi unafurahia mahusiano yako?? Nini chanzo Au sababu ya furaha yako?? Maoni please

Kufurahia mahusiano huja baada ya kujiridhisha kuwa vyote ni sawa tu. Nimerukaruka sana na ulimwengu nkajagundua kuwa woote ni sawa tu. Alivyo mzungu ndivyo alivyo Mndengereko tena huyu wa kwetu ni bora zaidi. Nikajituliza na huyu mmoja tu sichungulii kwingine kwani kutanifanya nizidi kujitesa kutafuta bora zaidi ambayo haiko. Nikuambie; Usiruhusu utafiti, kila mmoja anajua kilicho mvutia
 
Maisha ya ndoa ni maisha ya kawaida kama maisha mengine, katika maisha yako ya kila siku kuna siku za furaha, siku za huzuni, siku za kucheka za kulia n.k
Sio kila anachotaka nawe utataka sio kila unachotaka wewe nae atataka hivo kutofautiana ni jambo la kawaida.
Kubali mapungufu, mvumilie uwezavyo na umuheshimu sana........
Mimi nataka kwanza wewe ufaulu mtihani wa ubachelor!
 
Mahusiano na ndoa za sasa ukitaka upate furaha unayo isema hapo, basi tafuta pesa kwanza nakuhakikishia utaitwa mfalme wa mapenzi kama huna basi isahau kabisa furaha ya ndoa.
 
nimesema ni ya kawaida kwakua huwa kuna hofu unawaza huko kuna.nini ndo.maana nikasema ni kawaida.
kuhusu kutaka kuingia huko inategemea, unataka kuingia? na unaingia kwa sababu zipi?mashost wameingia nawe unaingia ili wakukome?umri unaenda au?

Ahaa ok.. Vipi wewe binafsi unafurahia mahusiano uliyonayo?? If yes / no nini sababu?
 
unafurahia mavituz huku upo jf......
hii ni moja kati ya vitu vinaboa asee upo na mwenzio huku simu mkononi busy mtandaoni

Nimoja kati ya vitu mtu mtu hapendi kabisaa yani kuwa bize na mitandao ya kijamii sijui wenzangu kwa hili limekaaje
 
Back
Top Bottom