France Kasa
New Member
- Dec 26, 2016
- 2
- 3
Habari wana jambo,,
Kuna dada nampenda na yeye ananipenda sana, toka tuanze mahusiano ni mwaka mmoja sasa, tunaendelea kumuibia jamaa ambaye ni mwanajeshi huko mikoani.
Mwanamke huyu ananichanganya kiasi kwamba nataka kumuacha mke wangu kwa ajili yake.
Wakati mwingine huwa nafurahi na kushukuru kuwa ofisi moja na mwanamke huyu tunayependana.
Sasa mwanajeshi wake anataka kumuoa na wiki hii kamkazania akachonge Pete na yeye hataki ananitaka mimi. Nifanyaje jamani na mie kumuacha nashindwa?