Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Kwa mujibu wa huyu jamaa kwenye video hiyo hapo chini, anadai kuwa kutembea na housegirl ni sawa hata kwenye biblia Ibrahimu, Yakobo na Suleiman walitembea na vijakazi wao ambao ndio kama ma housegirl wa kipindi hicho, na pia anadai ukimuacha kijakazi ataolewa au kuzaa na nani kwa kuwa amebanwa na kazi.
Kijakazi kazi yake ni kumsaidia mke sio kwenye kazi tu bali pia kwenye sex..
Kijakazi kazi yake ni kumsaidia mke sio kwenye kazi tu bali pia kwenye sex..