Mkopo dar es salaam

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Heshima yenu wakuuu,,,,, Mimi ni Mt
umishi Wa serikalini
naomba kwa anaejua anisaidie mahali pakukopa laki nne kwa riba taacha Laptop(PC) yangu .Ntailudisha tarehe kama hii mwezi ujao
.

Naombeni mnisaidie natanguliza shukrani zangu za zati.
 
Kwa ujinga wako wa kutojua kuandika itakuchukua miaka kupata huo mkopo. Labda ungeomba msaada badala ya mkopo. By the way unatumikia serikali gani? Ya Somalia au?
 
Mwenzetu unatumia sana Comouter nini mbona hata waiting skills umeikosa unafanya kazi ofisi gani?

Kwa hali hii itabidi cleanup ifanyike kuna watu wana degree wako mtaani wewe hata kuandika hujui na umeajiriwa!!! nahisi kuna kutapeliwa hapa guys kuweni makini
 
Laptop gharama yake bei gani?
Nataka nikuelekeze ukachukue pesa sehemu
 
Back
Top Bottom