Contraceptives zinapozingua

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,794
Habari za leo wapendwa,

Leo nitawapa kisa cha shost niliyesoma nae secondary zile enzi ugali na maharage na solution unachomvyea mkate, basi baada ya pale shost si kwao kidogo change ipo, first degree alipelekwa Ughaibuni.

Tulipoteana kwa muda mrefu, mpaka nilipokutana na maza wake church ndiyo kuniambia Sky jamani Z anaolewa kwahiyo uje kwenye vikao vya harusi. Basi tulicheza harusi shost amempata kijana wa kizungu.

Baada ya harusi, tuliendelea na mawasiliano, ilimchukua shost miaka mitano baada ya ndoa kupata mtoto, alipomleta mtoto nyumbani kwa wazazi wamuone ndiyo nimebahatika kukaona katoto kazuri jamani.

Shost ananiambia walipokutana na mchumba alimwambia aweke implant ili asishike ujauzito kwani walikuwa na mipango mingi, jamaa alikuwa anataka anunue nyumba kabla hajaoa, pia gharama za harusi. Yote yalifanikiwa lakini wakati wanataka kupata mtoto in plant bado ilikuwa kwenye action.

Baada ya kuelezwa haya nikasema mbona hii mipingo yetu haina complications zote hizo, ingwa wanalalamika wanategeshewa mimba lakini mambo ya kulazimishwa kuweka in plant bado.

Weekend njema

Sky Éclat.
 
Uzuri wake haiwezi kukuletea magonjwa, haicheat, unapoihitaji huna haja ya kuibembeleza.
The worst haikupi jotroo kama la mamen!!!There is smthn gd in P!!!Dildo ni stress za mtuu tuu...ila ukipata mkunaji utaitaka unless u are doing scissoring
 
Kama kawaida yako dada...
You are too satisfied with your life... Kila siku ni habari za shost, binamu...

Sasa nina wasiwasi story zako zote huwa ni kutunga ama kusikia.. Period.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Hahahahahahahhhahahha.....
 
Back
Top Bottom