Kumbe wanawake wote ni walemavu? Hawawezi kufanya jambo bila mwanaume

Mr. Verossa

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
571
288
Katika kupitapita kwangu kwenye vitabu nikaona kwenye list ya special group wanawake wamewekwa sasa nikajiuliza kwanini wamewekwa pale ikiwa karne hii kuna wanawake wasomi wengi.

Basi ikabidi nifikirishe akili zangu ndipo nikagundua kuwa wanawake ni walemavu wa akili na mawazo yaani hawawezi kufanya jambo bila mwanaume, muda wote anataka asaidiwe tu hata kama awe na elimu kiasi gani bado ni bure kabisa.

Poleni sana.
 
Katika kupitapita kwangu kwenye vitabu nikaona kwenye list ya special group wanawake wamewekwa sasa nikajiuliza kwanini wamewekwa pale ikiwa karne hii kuna wanawake wasomi wengi,basi ikabidi nifikirishe akili zangu ndipo nikagundua kuwa wanawake ni walemavu wa akili na mawazo yaani hawawezi kufanya jambo bila mwanaume,muda wote anataka asaidiwe tu hata kama awe na elimu kiasi gani bado ni bure kabisaa.Poleni sana
Wasubr wakujbu
 
Nnachojua mimi huwa hawajiamini uwezo wao, hasahasa akikaa karibu na mwanaume,
 
Sasa tukijiamini 100% na kufanya yote pasipo kuwahitaji nyie mtakuaje?

Acheni hizo bana,tumeumbwa kutegemeana
safi sana chief Valentina naona we umetumia ID yako halisi...na ako ka avatar kako nimekapenda sana ...itabidi niku PM kuna wazo limenijia kichwani gafla ngoja nikushirikishe
 
Na hawa baadhi ya wanaume wanaowategemea wake zao kila kitu hadi mawazo tuwaiteje? Halafu muache basi kuja jf kulia lia kuwa tunapenda hela wakati mnajua tumeumbwa kuwategemea kwa kila kitu
 
Na hawa baadhi ya wanaume wanaowategemea wake zao kila kitu hadi mawazo tuwaiteje? Halafu muache basi kuja jf kulia lia kuwa tunapenda hela wakati mnajua tumeumbwa kuwategemea kwa kila kitu
who said that?
 
Back
Top Bottom