Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,775
Kwa wale waliobahatika chereko chereko, ni nini kiliwatoa machozi siku ya harusi. Miaka hiyo mama zetu walilia kwakuwa waliolewa wakiwa wadogo, miaka 18,19, 20 mtu wa 21 au 22 alionekana amebaki kwenye shelf.
Sasa unamkuta dada wa 35 anaolewa, anatoa machozi siku ya harusi. Hapa bado sijaelewa, kuwa ni emotions kuwa hakutegemea, anawaacha wazazi au anaogopa haki ya ndoa?
Sasa unamkuta dada wa 35 anaolewa, anatoa machozi siku ya harusi. Hapa bado sijaelewa, kuwa ni emotions kuwa hakutegemea, anawaacha wazazi au anaogopa haki ya ndoa?