Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nipo single natafuta wa kuanzia nae tarehe 14.2.2013 mpaka milele awe mwanaume mkristo kuanzia miaka 38 na kuendelea kama yupo tayari anipm msg zote zitajibiwa
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ivi MTU anaposema show zangu Kali(ufanyaji mapenzi) ivi inakuwa anakaa mda mrefu dushe likiwa ndani au Ana staili nyingi za kufanya ilo tendo Na mwingine akisema yule nazikubali show zake anakuwa...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Nahisi siku ya pili ama ya tatu thread za MMU asilimia kubwa zinawashambulia wanawake hasa eneo la ndoa na mahusiano. Na zinakuja kwa kasi kweli kukiwa na maneno makali. Kulikoni my lovely ladies...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wadau kama kawaida yangu Nina swali jingine naombeni maoni yenu.Mfano una boyfriend mnapenda Ila kama mnavyojua wanaume wakijua wanapedwa lazma wawe na maringo flan ivi...yani ww utajipendekeza tu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kisa kinahuzunisha jana usiku tulivamiwa na vibaka sijui majambazi, nyumba ninayokaa ni kuna nyumba tano but nyumba moja inakaa familia mbili yaan tunajitegemea ni vyumba viwili,jiko na sebule na...
7 Reactions
23 Replies
5K Views
Uzoefu unaonesha kuwa, miaka ya hivi karibuni ulimwengu umekuwa ukishuhudia mabadiliko ya ajabu katika ndoa na familia hata na zile za wakristo. Mabadiriko haya yanachagizwa na sababu nyingi...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mke wangu anasiku kidogo ametoka, na nina uhakika ananipenda na hawajawai kunisaliti, lakini leo sijui shetani kanipitiaje nikamwita mwanamke fulan alkua ananitaka tangu zamani, kaja nikamkaza...
5 Reactions
124 Replies
13K Views
Epuka denda kabisa au pima na mwenzi wako UGONJWA WA HOMA YA INI kabla ya kunyonyana mate au ulimi maana taarifa za utafiti Kutoka Marekani zinasema Maambukizi ya Ugonjwa wa homa ya Ini...
4 Reactions
51 Replies
8K Views
Swali langu kwa wazazi.... Wewe ni mzazi, mwanao wa kike anasoma kidato cha 3 mkoani umemsafirisha leo kwenda shule Baada ya masaa matano ukasikia garialilopanda mwanao limepata ajali na...
0 Reactions
8 Replies
974 Views
Ndugu wana JF, Mara kadhaa kumekuwa na kasumba kati ya vibamia na mguu wa mtoto je kuna ukweli wowote size ya uume inamchango kumridhisha mwanamke? Au ni story za kufikirika tuu ila size yeyote...
2 Reactions
70 Replies
12K Views
Habari za mapumziko ya mwisho wa wiki wanaMMU. Tafadhali bila kupoteza muda na kukuchosha naenda kwenye mada. Kumekuwa na kawaida tena sana ya wanaume wa Dar kusakamwa sana. Kidogo utasikia wewe...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Hi wana jamii, Mimi ni kijana niliyejiajiri, elimu yangu chuo kikuu, mkristo, umri wangu miaka 27. Natafuta rafiki wa kike aliye Moshi/Arusha umri 18 - 24, dini yeyote, ila awe mchangamfu. Awe...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi naamini kuna nyakati nyingine huwa tunadhoofisha mahusiano yetu sisi wenyewe wapenzi katika mazungumzo yetu. Kuna vitu ambavyo huwa hatutakiwi kuzungumza katika mahusiano ila kwa kutotambua...
2 Reactions
74 Replies
5K Views
Miaka hii miwili kwa mji wa Dar inaonekana wanawake wameongeza tabia ya kukimbia waume zao. Wengi wao hukimbia pale mume anapoachishwa kazi au biashara kufilisika kutokana na hali ya uchumi ya...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Salaam, mm ni kijana ambaye niko ktk mchakato wa kuaga ukapera na kujiunga na kundi la wanandoa, nina wachumba wawili ambao nahitaji kumpitisha mmoja kuwa mama watoto, ila kuna jambo naomba...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
SIMULIZI ZA JOMBA WAJO HEKALU LA MAOVU. Sehemu Ya 1. Pengine ni kwa sababu alizaliwa kipindi cha mwezi mkuu, wakati mbweha na mbwa mwitu wakibweka kuzunguka kibanda cha mama yake kilichojengwa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Leo nina kisa nataka kuwasimulia. Bwana mmoja alikuwa amekwenda kazini kama ilivyo kawaida yake, akiwa ndio anafika kazini akapigiwa simu kujulishwa kwamba nyumba yake inaungua. Bwana yule...
1 Reactions
3 Replies
809 Views
Habari zenu wana MMU mimi mzima wa afya . Kuna kisa nimeshirikishwa kupitia njia nyingine za mawasiliano ambapo akanieleza kisa kina msibu sasa hivi yeye na mchepuko wake naweza sema ex mchepuko...
18 Reactions
156 Replies
12K Views
Jana jioni wakati natoka kutafuta ugali wa kuweka mezani,ikabidi nipitie kwa mama watoto mtarajiwa kumsabahi lakini pia nikitafuta pumziko la mwili maana wiki nzima sijapiga jelamba!Ile kufika...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Zamani nilipokuwa Mdogo katika story za hapa na pale,nilisikia mara nyingi kuwa ukitembea na mtoto wa Mtu na Wewe lazima wako watakuwa Malaya,kwa hiyo ili wako wawe watulivu na Wewe acha wa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…