BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Nahisi siku ya pili ama ya tatu thread za MMU asilimia kubwa zinawashambulia wanawake hasa eneo la ndoa na mahusiano. Na zinakuja kwa kasi kweli kukiwa na maneno makali.
Kulikoni my lovely ladies wa humu!!!
Kulikoni my lovely ladies wa humu!!!