Three idiot
Senior Member
- Jul 14, 2016
- 188
- 154
Wadau kama kawaida yangu Nina swali jingine naombeni maoni yenu.Mfano una boyfriend mnapenda Ila kama mnavyojua wanaume wakijua wanapedwa lazma wawe na maringo flan ivi...yani ww utajipendekeza tu kwake...and. Ktk hy hali ya kukuringia na kuku ignore kuna jamaa mwingine anamzimikia demu haswa yani yupo karibu na dem anampa muda wake,anamjali kwa kila kitu Ila dem hampendi anampenda jamaa yake ambaye anajifanya yuko busy...na ktk chartings za Yule jamaa mwingine na dem ana mtext kimapenzi bt demu haonyeshi ushirikiano kiavyo....so kama ww ndo jamaa unaye mu-ignoer dem ukaona hz text utafanyaje???? Utasema demu wako anakuchet au utapunguza mapenzi kabisa na kuhisi hakuwa mwaminifu kwako...au ndo utaacha kujidai na kuanza kumuonyesha mapenzi yote? Na je kama ni mwanamke utafuta conversation unazochat na hy jamaa wakat huna interest nae pale ambapo unaenda kukutana na boyfriend wako kwa kuhofia akiziona atakuhisi ww ni muhimu????? Naombeni comments zenu juu ya hili.