masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,281
Zamani nilipokuwa Mdogo katika story za hapa na pale,nilisikia mara nyingi kuwa ukitembea na mtoto wa Mtu na Wewe lazima wako watakuwa Malaya,kwa hiyo ili wako wawe watulivu na Wewe acha wa wenzako.
sasa ikaenda mbali zaidi nikasikia wakisema, ukitembea na mume au mke wa mtu na Wewe ukiingia kwenye ndoa lazima na Wewe wako watachukuliwa tu ili machungu hayo na wewe uyasikie.
Sasa nawauliza kwa THE GREAT THINKER,
Haya au hii imani ipo na ni ya kweli au ni story tu na inategemea na utakayempata? Kwani unaweza jitunza sana kwa imani hii ili usipitie machungu then ukajikuta wako ndio wanatoka naye sana...