pistmshai
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,313
- 3,683
Mimi naamini kuna nyakati nyingine huwa tunadhoofisha mahusiano yetu sisi wenyewe wapenzi katika mazungumzo yetu.
Kuna vitu ambavyo huwa hatutakiwi kuzungumza katika mahusiano ila kwa kutotambua madhara yake, tunayaongea tu.
Kuna mambo machache ambayo nafahamu fika wadada hawapendi kuyasikia na unaweza ukayazungumza ukijua unajenga kumbe unabomoa kidogo kidogo, mfano;
Kumlinganisha na Ex-GirlFriend wako, najua hili jambo ni Natural, na linatokea almost kwa wote, but why to blurt that out! Keep mum in this reference, and see your girl smiling all the time! mfano; Irene used to be so punctual, why are you so late… au Irene used to wear makeup,why do you prefer being natural…Irene used to blow, why do you suck…bla bla bla.. hapo unabomoa mkuu...!
Usipende kuzungumzia maumbile ya wanawake wengine kwa kuwakandia ukiwa na lengo la kumfurahisha na kujiona yeye anaumbile zuri zaidi, If you love her and expect a peaceful life, just don’t do that. Things may mess up bad; unaweza kuwakandia wanawake wanene, wenye chunusi, na kadhalika, halafu na yeye mwisho wa mwishoni akaishia hukohuko unapokandia.
Au hata kale katabia ka-Bodyshaming, mtu anadiriki kumwambia mpenzi wake, natamani ungekuwa mwembamba.. LOL.
Hebu wadada tuambizane, ulishawahi kuambiwa jambo gani likakuboa wakati huo au lilikuja kuathiri mahusiano yenu siku za usoni.