Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
Swali langu kwa wazazi....
Wewe ni mzazi, mwanao wa kike anasoma kidato cha 3 mkoani umemsafirisha leo kwenda shule
Baada ya masaa matano ukasikia garialilopanda mwanao limepata ajali na wamekufa watu wote,
Upokatika harakati za kuandaa msiba mwanao anakupigia simu baba/mama mimi mzima sijafa mpenzi wangu Ambiere
aliniambia nishuke ili niwe nae kwa siku mbili alafu niende shule
je wewe mzazi ungemfanyaje ?
Nawasilisha