kiboksi manyoya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 377
- 311
Salaam, mm ni kijana ambaye niko ktk mchakato wa kuaga ukapera na kujiunga na kundi la wanandoa, nina wachumba wawili ambao nahitaji kumpitisha mmoja kuwa mama watoto, ila kuna jambo naomba ushauri wenu.
Mchumba wa kwanza ni mtaratibu, mtulivu, mvumilivu na mwepesi wa kuomba msamaha pale anapokosea jla tatizo lake kwenye 6*6ni mchovu sana yaani hachangamshi jukwaa.
Huyu mwingine ni mtaratibu, sio mtulivu ni kiguu na njia, sio mvumilivu pia anapokosea kuomba msamaha ni nadra sana ila anashambulia jukwaa balaa, hata kama huna apetaiti itakuja tu, naomba ushauri wenu yupi ni wife material?