Miaka hii miwili kwa mji wa Dar inaonekana wanawake wameongeza tabia ya kukimbia waume zao. Wengi wao hukimbia pale mume anapoachishwa kazi au biashara kufilisika kutokana na hali ya uchumi ya kipindi hiki kwa serikali zetu,
Na mara nyingi kukimbia kumekuwa sio kwa wema kwamba mke hata akimbilie kwao bali hukimbilia kusikojulikana hapa hapa jijini kama walikuwa wanaishi mwenge mume atasikia tu nimemuona mkeo kapakiwa kwenye bodaboda kinyerezi mara goba mara mbezi beach
Badala ya yeye mke kubadilika kutokana na hali ya maisha ili aishi maisha ya kujibana na kujihangaisha hata kazi za mama lishe aishi na mumewe na wanawe anakimbilia anakojua.
Je hii tabia ya wanawake kukimbia inatoa picha gani kwa jamii?