Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Mke wangu anasiku kidogo ametoka, na nina uhakika ananipenda na hawajawai kunisaliti, lakini leo sijui shetani kanipitiaje nikamwita mwanamke fulan alkua ananitaka tangu zamani, kaja nikamkaza sasa cha ajabu moyo wangu umekosa amani kabisa roho inaniuma sana kias kwamba akija atanigundua maana sijawai na ninajuta kwa kweli,... naombeni ushauri nifanyeje tafadhali