Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,598
Epuka denda kabisa au pima na mwenzi wako UGONJWA WA HOMA YA INI kabla ya kunyonyana mate au ulimi maana taarifa za utafiti Kutoka Marekani zinasema Maambukizi ya Ugonjwa wa homa ya Ini yanaongezeka kwa kasi sana, pia ni makubwa kuliko ya UKIMWI. Chanzo: BBC LEO ASUBUHI.