Naomba kueleweshwa, mtu akisema 'show zangu kali' anamaanisha nini?

mlogolaje

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
1,509
813
Ivi MTU anaposema show zangu Kali(ufanyaji mapenzi) ivi inakuwa anakaa mda mrefu dushe likiwa ndani au Ana staili nyingi za kufanya ilo tendo

Na mwingine akisema yule nazikubali show zake anakuwa amefanyiwa nini(wanawake)

Mwanamke akiambiwa mchovu ndo yukoje kitandani

Mwisho mwanaume mchovu kitandani ndo yukoje

Naomba kueleweshwa
 
Ivi MTU anaposema show zangu Kali(ufanyaji mapenzi) ivi inakuwa anakaa mda mrefu dudu ikiwa ndani au
Ana staili nyingi za kufanya ilo tendo

Na mwingine akisema yule nazikubali show zake anakuwa amefanyiwa mini(wanawake)

Mwanamke akiambiwa mchovu ndo yukoje kitandani

Mwisho mwanaume mchovu kitandani ndo yukoje

Naomba kufundishwa
kazi kweli kweli
 
Mwanamke mchovu ni yule hajishughulishi kwa lolote(wa hivi wanapenda mapenzi ya kubakana,no maandalizi no viuno)

Mwanaume mchovu ni yule dakika moja tayar keshamaliza haja yake(wengine sio kosa lao unaweza kuta wana stress,ugonjwa,nakadhalika)

Showkali ni wale wanaojua kuandaa na kucare wapenzi wao wakati wa malavi davi (ILA SIKU HIZI SIO KILA ASIFIWAE ANA TOA DOZI KALI NI KWELI,WENGINE WANATUMIA MADAWA YA KUONGEZA NGUVU EITHER apewe sifa au amkomoe mpenzi wake)
 
Mixer viuno pia na some touchin'

Bwana we! Wengine sio washabiki wa miziki ya lingala, we like hittin' it to some ODB, NWA, you name it. Hatujui touchin' but pullin' and smackin', sasa uvute wigi la Mwajuma ling'oke si ni kasheshe?
 
Bwana we! Wengine sio washabiki wa miziki ya lingala, we like hittin' it to some ODB, NWA, you name it. Hatujui touchin' but pullin' and smackin', sasa uvute wigi la Mwajuma ling'oke si ni kasheshe?
Hahahaahhh
Kuna watu 'wanafanya' na mawigi??
 
Show kali ni ile ya kuunganisha yani napiga zeze wakija wazungu natema alafu no kupumzka show show atlest round 3 mfululizo ndo napumua almost range ya 25 - 30 minutes per each round juu ya mlima
Then 25*3=75 minutes
 
Hata sijui, nimeelezea hypothetically. Kwa namna ulivyoshangaa, inaashiria huwa unalivua, yeah?
Huwa situmii 'mawigi' wala 'mawivingi'
Sema anayelala na wigi ametisha asee maana najua ni ya kuvua tu
 
[QUOTE="Dan Cooper, post: 19328963, member: 288729"Hair pulling is definitely on the menu.[/QUOTE]

Ivi we ni Paulo Sergio de souz eee???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom