Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
Habari wana JF,
Humu ndani nadhani sote tunajua mapenzi, kuna waliooa/olewa na ambao bado, ila karibu wote tunajua mapenzi na wengine mnawaza kuingia kwenye mkataba huo kati ya mke na mme.
Sasa nauliza, ndoa ikizingua bora kufanyaje? Kuachana na kubakia bila bila, kuoa mke wa pili,(me)
Au kuacha na kuoa/olewa upya.