Nani alituaminisha kumuonesha mtu kidole cha kati cha mkononi ni kumtusi?

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,496
5,693
Salaam,

Nauliza tu kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Wengi tunaamini hivyo, hata mahakamani wanaamini hivyo, sasa humu jukwaani hebu tupeane elimu kidogo kuhusu suala hili, nisije nikamuonesha mtu bure akaniona nimemtukana.

Karibuni kwa mchango wa mawazo.
 
Salaam,
nauliza tu kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Wengi tunaamini hivyo,hata mahakamani wanaamini hivyo,sasa humu jukwaani hebu tupeane elimu kidogo kuhusu suala hili,nisije nikamuonesha mtu bure akaniona nimemtukana,
karibuni kwa mchango wa mawazo.

Kwani nani alituaminisha baadhi ya maneno kuwa matusi?!
 
Leo mida ya saa nne asubuhi ninewaza sana na kujiuliza swali hilo nashangaa sana kuona huu uzi hapa. Nami nimejiuliza sana maana tumekubali kubiaminisha vichwa vyetu jambo la ajabu sana hata bungeni waheshimiwa wanaamini hiyo!
 
Unaweza kutwambia nani alituaminisha kumpunngia mtu mkono ni salamu hiyo wanaita lugha ya ishara mkuu
 
Kwa hiyo kama kirefu ndio ishara ya kumtusi mtu? Nakumbuka kuna mchezaji wa yanga,chuji salumu,aliwaonyesha washabiki kidole cha kati,tff wakamfungia mechi 2,sikuona mantiki yake,
 
Salaam,

Nauliza tu kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Wengi tunaamini hivyo, hata mahakamani wanaamini hivyo, sasa humu jukwaani hebu tupeane elimu kidogo kuhusu suala hili, nisije nikamuonesha mtu bure akaniona nimemtukana.

Karibuni kwa mchango wa mawazo.
anaitwa society usipokuamakini na misimamoyako anaweza kukupoteza
 
Salaam,

Nauliza tu kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Wengi tunaamini hivyo, hata mahakamani wanaamini hivyo, sasa humu jukwaani hebu tupeane elimu kidogo kuhusu suala hili, nisije nikamuonesha mtu bure akaniona nimemtukana.

Karibuni kwa mchango wa mawazo.
matusi ni nini??
 
Kuna mzungu mshua ali mu overtake vibaya aka tailgate niliona kidole tu nakumbuka nilikuwa Grade 4 sijui nikawa namkodolea mshua macho kwenye kile kioo cha mbele katikati akarudisha Dole ndio nikajua kumbe ni njia ya kusalimiana
 
Mkuu,geniverous,wewe nu mwalimu,ikitokea mwanafunzi wa kiume akakuonyesha kidole cha kati,utamuadhibu kwa kosa lipi? Tuanzie hapo kwako
 
Salaam,

Nauliza tu kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Wengi tunaamini hivyo, hata mahakamani wanaamini hivyo, sasa humu jukwaani hebu tupeane elimu kidogo kuhusu suala hili, nisije nikamuonesha mtu bure akaniona nimemtukana.

Karibuni kwa mchango wa mawazo.
Matumizi yake mkiwa faragha na mwenzio
 
Nenda shule ya viziwi ukaoneshe hivyo utapata jibu tena lisilo na karaha kabisa.
 
Hivi mkiwa faragha nadhani vinavyotumika sana ni papuch na mguu wa tatu wa mwanamme,au kuna kingine?
 
Back
Top Bottom