Hivi kumvalia nusu uchi kaka yako ni sawa?

LH XiV

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
346
350
Wanajamvi,

Ni matuamini yangu sote tu wazima wa afya, kwa wale wenye shida na changamoto tofauti tuombe Mungu na tusikate tamaa. Hivi limekaaje hili suala la mtoto wa kike kukaa nusu uchi mbele ya kaka yake au baba yake mzazi, Leo nimepita katika familia moja kubwa na ya kitajiri kwelikweli hapa nchini nimeshuhudia hili na wao wako sawa kabisa wala hawahisi kukosea.

Niliitwa na rafiki yangu mtoto wa tajiri huyo, nilipofika katika nyumba hiyo nikashtuka kidogo kuona hali ilivokuwa pale, mtoto kavaaa kigauni kifupi kiasi kwamba hawez hata kuinama bila kuonyesha utamu wake hadharani na juu huko nguo ni very transparent Niliwakuta wakicheza Ps ila katika viti tofauti.

Je, imekaaje hii ni uzungu au?
 
wataishia kule kule tunakokujua!! kwa wazungu waoa mihemuko miko mbali sana lakini akina sie!! weeeeee!!!!! naomba uje uwatembelee baada ya miezi 10 ijayo!!! kuiga uzungu huku mihemuko iko kweupe!! na kwa vile geti kali na huwa na nyodo basi hapo tusubiri matookeo , ila uzoefu nai kuanza kupandana tuu!!
 
Huo ni utamaduni wa hiyo familia, waliouzoea. Ukiwashangaa na wao watakushangaa. Kuna baadhi ya familia huwezi kukuta mtoto wa kike amefunga kanga lubega asubuhi hadi jioni halafu anapita pita mbele ya wazazi wake, ila ukistaajabu hilo kwa huku uswahilini kwetu watakuona mshamba tu.
kanga.jpg


Hata tukurejea tulipotoka, zamani wazee wetu walikuwa wanakaa nusu uchi na familia zao lakini kwa sababu ilikuwa ni utamaduni wao, haikuleta shida wala haikuwa ni jambo la kushangaza.
tn_di-LT9I.jpg
 
Wanajamvi ni matuamini yangu sote tu wazima wa afya, kwa wale wenye shida na changamoto tofauti tuombe Mungu na tusikate tamaa.
Hivi limekaaje hili suala la mtoto wa kike kukaa nusu uchi mbele ya kaka yake au baba yake mzazi,
Leo nimepita katika familia moja kubwa na ya kitajiri kwelikweli hapa nchini nimeshuhudia hili na wao wako sawa kabisa wala hawahisi kukosea.

Niliitwa na rafiki yangu mtoto wa tajiri huyo, nilipofika katika nyumba hiyo nikashtuka kidogo kuona hali ilivokuwa pale, mtoto kavaaa kigauni kifupi kiasi kwamba hawez hata kuinama bila kuonyesha utamu wake hadharani na juu huko nguo ni very transparent Niliwakuta wakicheza Ps ila katika viti tofauti,
Je imekaaje hii ni uzungu au.
"Ya Ngoswe, mwachie Ngoswe".

Lakini ikiwa dada yako atavaa nusu uchi mbele yako, chukua fimbo mtandike kisawa sawa na hatarudia tena.
 
Hiyo ndo tamu
Genye zikipanda, mnamalizana humo wenyewe kwa wenyewe ......
 
We jamaa ****** kweli umeleta haya mambo huku?ungekua msela wangu kweli ungeniuliza kwanza
Baada ya kumuuliza jamaa yangu zaidi ya mara mbili hasa nikitaka kujua kwamba kile ninacho fahamu cha undugu wao je ni sahihi na jamaa kanihakikishia kuwa ni sahihi na ni ndugu wa tumbo moja na alikuwa akinishangaa mimi kwanini nashangaa
 
Na hao baba na kaka yake na mama yake kama ulimuona walikuwa wamevaaje? Je, wameishi muda mrefu nje ya Tanzania? Na walikuwa nchi gani?
Mara nyingi mzee wao si mtu wa kumkuta nyumbani ila kwa maadili yao huwezi kumkuta mama yao akiwa hivo ni wale watu wa kujitanda sana, na maisha yao kuanzia ukuaji mpaka elimu ni wamepatia hapa hapa ukiondoa safari za mara kwa mara nje ya nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom