NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Kwa, mujibu wa ripota wetu alioyepo Ngara anasema mahari kubwa inaotozwa na wazazi imesababisha vijana wengi waende kujiokotea wanawake nchi jirani ya Rwanda na Burundi.
Kwani Ngara, ili, uoe msichana, unatakiwa kuwa na ng'ombe 10 hadi 20, Wakati Rwanda, na Burundi ni sh 100,000 tu za kibongo unaoa Kitu kinachosababisha dada zetu wasiolewe na kubaki majumbani.