Ngozi Joram
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 662
- 545
Natumaini mu wazima wana MMU. siku si nyingi miliwahi sikia mtu akiongea kuwa mwanamke anawezafanya kitu kubadili /kuongeza kdg joto la mwili wake ili kumpagawisha mwanaume kwenye sex.
Naomba kujua je kuna ukwelinhapo?? Yaani kuna namna mwanamke anawezafanya kuboost joto la mwili?
Naomba kujua je kuna ukwelinhapo?? Yaani kuna namna mwanamke anawezafanya kuboost joto la mwili?