Mchumba wangu hataki nimfanyie suprise

kdom

JF-Expert Member
Jan 23, 2017
238
146
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba wangu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi Ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi but kitu cha kushangaza hataki niende kwake bila kumtaarifu mapema.

Nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage hatuongeleshani kabisa yani natamani kurudi nilikotoka wakati huohuo.

Wakuu hivi na nyie mnafanyiwa hivi na wachumba zenu?

Naomba ushauri
 
Hata mheshimiwa alikuwa anapiga ziara za kushtukiza kwa lengo maalum.

Ukiona anakununia kiasi hicho kisa umempiga surprise, basi ana wasiwasi siku moja utamfumania.

Sasa kwa kuwa ni vigumu kukuambia kinachompa wasiwasi, anakutumia message kwa kukununia ili siku nyingine ukome kumfanyia surprise. Unakujengea wazo kuwa ukienda kwa surprise, basi jiandae kununiwa, na hata mchezo unaweza kunyimwa kabisa ukarudi Singida na maugumu yako.
 
Kwanini ufanye surprise
Labda hana mboga.hajapiga deki hajaosha vyombo na ubusy wa wiki. Au alikua na ratiba zake ukija mgeni lazima hizo ratiba zivuruguke.
Na kwanini unatembea njia nzima bila kumwambia mwenzio labda anataka kukufanyia maombi ukiwa njia si unajua kuna ajari nyingi njiani
Sikiliza kile mpnz wako ana penda kufanyiwa siyo kila unalo sikia huko nje kua ni njia ya kuonyesha upendo basi lazima ulijaribu mengine yanaharibu mahusiano

Anza kutoa taarifa kuanzia sasa
 
Ok, thnx mkuu
 
Pa1 mkuu.
 
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba angu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi bt kitu cha kushangaza hataki niende kwake bila kumtaarifu mapema,nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage hatuongeleshani kbxa yan nataman kurudi nlikotoka wakati huohuo, wakuu hivi na nyie mnafanyiwa hivi na wachumba zenu? Naomba ushauri
Nadhani anakupenda sana, ukimfanyia Surprise anastuka sana, usije ukamuua mtoto wa mwenzio, msikilize anachokuambia.
 
Anakunyima raha, kwani hiyo surprise inakupa raha gani wewe?

Kama yeye hataki, wewe unamfanyia yanini?

Hilo ni la kuacha tu, wala halihitaji kuuliza.

Au humwamini?
In short hatak niende kwke kbxa masharti yanakuwaga mengi xna.
 
Kwanini ufanye surprise
Labda hana mboga.hajapiga deki hajaosha vyombo na ubusy wa wiki. Au alikua na ratiba zake ukija mgeni lazima hizo ratiba zivuruguke.
Na kwanini unatembea njia nzima bila kumwambia mwenzio labda anataka kukufanyia maombi ukiwa njia si unajua kuna ajari nyingi njiani
Sikiliza kile mpnz wako ana penda kufanyiwa siyo kila unalo sikia huko nje kua ni njia ya kuonyesha upendo basi lazima ulijaribu mengine yanaharibu mahusiano

Anza kutoa taarifa kuanzia sasa
Ok, thnx
 
Matumizi ya x badala ya s yanaonyesha bado mtoto ndio maana anakudharau na kukuchezea akili atakavyo kama umeweza kuja kulalamika humu,nahisi hili swala limewashinda rafiki zako huko ulipo(itakua wameshachoka malalamiko yako)
 
Kaweke kambi kwanza siku mbili ifakar b4 ndipo ujifanye unaenda cku hiyo ili umfuatilie nyendo zake km una wasiwasi nae na umfumanie muachane kabisa maana anakusumbua kila siku unaenda wewe tu yeye hata singida hawaz kuja anafikir hiyo pesa unapata wap kipindi hiki kigumu hiv. Ina maana singida hakuna watoto warembo wakal!! Acha uboya unamegewa.
 
Achaujanja ujanja, wewe unapotoka hukouliko yeye anajua umepitia wapi kwanza hadi ukafika hapokwake??
Yaniunamshtukiza iliiweje watu hapa wanakwambia anamtu mwingine achananae, nayeye akisema hutakiajue umetoka lini au saangapi hukokwenu iliajue unatumiamudagani kufika kwake, ajiridhishe kama hupitii mahali penginekwanza utasema anagubu?.

My take, mtafutie sababu nzuri kamaunataka kuachananae.
 
Kiukwel mtu asiependa suprise anayake nilikuw katika situation kama yako anasema hapend surprise na kwel siku moja surprise yangu nilikutana na surprise pia nikawakuta chumban hata milango hawajafunga ndio nikaelewa kwann jamaa hakuwa anataka suprise . hayo mambo sijui kukuta room kichafu mboga hamna khaaa labda kama ndio mnaanza mapenz ila wapenz mliozoeana hayo mambo ya kawaida tu hata mm naweza kuwa nina hela tukanunua mboga.
Ni visababu tu ila mara nying watu wa hiv sio waaminifu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom