Hivi wanawake wa Dar huwa mnatuchukuliaje wanaume wa mikoani?

Wanaume wengi wa mikoani walikimbia uchafu na msongamano Dar sisi tunapenda kuishi Kwa space
 
Wanaume wengi wa mkoani hawaogi,wananuka soksi,unakuta kavaa vesti imetoboka mara ina chata la Bob Male,Wanashangaa maghorofa,wakija Dar mda wote wanashinda kwenye TV,yaani kero kweli!
Pumbavu kabisa watu wa dar wanaongoza kwa uchoyo,mgeni akienda kuwatembelea huwa wanambebesha majukumu ya familia zao,lakini wao wakienda mikoani wanageuka kuwa watoto wanategemea kila kitu mpaka nauli ya kuwarudisha dar,ndio mana mashoga wanaongezeka kila uchwao
 
Back
Top Bottom