Habarini ndugu zangu.
Kuchepuka siyo kitu kizuri, kwanza ni dhambi kubwa sana.Vitabu vitakatifu vinasema.
Mm yalinikuta hivi:
Dada mmoja mwalimu alitokea kunipenda sana. Na ninafikiri sababu...
Itakuaje pale mpenzi wako anapokupigia simu Mara moja kwa wiki, na ikipiga simu haipokelewi na akipokea mnasalimiana tu Alafu atakwambia atakupigia badae, na hapigi pia unamkuta online whatsp...
Upendo wa kweli hupimwa pale Mambo uliyomuona nayo Season 1 yanapobadilika ikifika season 2. Upendo wa kweli hupimwa pale ambapo Hela ulizomkuta nazo wakati mnaanza zinapokwisha na inabidi...
Nisaidieni namna yakukwepa ugomvi wa mara kwa mara ndani ya nyumba,dah mtu ukimuuliza kitu kidogo tu maneno yake majibu yake duh unatamani ardhi ipasuke uingie ndani,wanawake wa kizazi hiki nani...
Habari za jumapili wapendwa.......
Bila ya shaka sisi sote Mungu ametujaalia uzima na afya tele.....na wenzetu wengine waliopo kwenye mitihani ya magonjwa Mungu awaponye warudi kama zamani na...
Mpenzi wangu wa zamani kanipigia simu asubuhi akitaka tuonane. Nikamjibu kwamba niko job labda nikitoka. Akanambia nijitahidi leo tuonane na nimemwambia job natoka saa 09:00 alasiri.
Nawaza...
Habari za jumapili,
Nipo hapa ndugu zangu naomba msaada wenu wa mawazo katika hili...
Mimi ni ke na nina mpenzi wangu na ukweli I love him so much lkn ni week ya...
Leo nimepokea simu, namba ngeni, baada ya maongezi, nimekumbuka hiki kisa, nikasema ngoja niwasimulie.
Mara ya kwanza kukufanya mapenzi nilifanya na mtoto wa mpangaji. Kipindi hicho nilikuwa nipo...
wadau, mi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa sasa kaamua kuokoka na anadai maandiko hayamruhusu kufanya tena upuuzi wa zamani (yaani uasherati). Nimembebeleza na kumwambia kuwa niko tayari...
Mimi ni mtoto wakwanza ktk familia,mama angu alikuwa anaishi nyumbani kwa baba angu ambaye ni marehemu sasa alihishi pale akiwa na wadogo zangu wa tumbu moja
Sijui nn kilitokea nikapata taarifa...
Salaam wakuu, mimi ni Yule yule wa kanaida.
Huyu jamaa alinichukulia demu niliyekuwa nae kwenye uhusiano kwa miezi 18, alimdanganyadanganya na hela yake ya sembe, akamshawishi aitoe mimba yangu...
nimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni...
Ni siku nyingine tena tuliiiiiivu, twamshukuru tena Mungu wetu kwa uzima, pia mibaraka yake ...
Japo mie si mpenzi wa "tattoos" nowadays jambo hilo limezidi kushika kasi hasa kwa wasanii na...
Wasichana wa siku hizi hawafai full kupeana stress mara akupige kizinga, mara atake umtoe out akapate Dinner, mara shopping kwa ajili ya Valentine, sometimes uchi unakua mfuko sio mnato tena, mara...
Wana JF imekuwa ni muda sasa toka nipotee Jamvini hiyo ni life, I prefer not to say the reasons...Tatizo langu ambalo linasumbua kichwa changu kwa muda wa wiki mbili hivi sasa...nina mke toka...
Nimekuwa na mpenzi wangu(mchumba) kwa takribani mwaka sasa, mara nyingi tumekuwa tukikwazana lakini tunasuluhisha na kusonga mbele. Ugomvi mkubwa hasa naweza sema ilikuwa pale alipoambiwa tu...
Inafahamika kwamba wanawake wengi walio katika ndoa huwa ni nadra sana kukuta ana urafiki na wifi zake dada wa mumewe.Tena kama wao mawifi walikuwa na chaguo lao lingine kwa kaka yao yani...
Salaam mama zangu, dada zangu, wenzangu na wadogo zangu!
Tumshukuru Mungu kwa kuiona tena siku hii.
Nimerudi na uzii huu nia yangu ni kupata uzoefu (experience) kutoka kwenu kuhusiana na maswala...
Wakuu nauliza
Wangapi mko kwenye mahusiano na mnaruhusu wapenzi wenu kuchat Fb na marafiki wa jinsia tofauti?
Kama ni mwanamke unakuta anachat na frd wa kiume anakwambia they are just normal...