Katika utafiti nilioufanya hivi karibuni nimebaini asilimia 95% ya wanaume wengi wanaoongoza kwa UONGO na umbeya mwingi usiopimika. Na kama yuko na mtu pembeni au njiani yake na kama amepigiwa...
jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Pitia hapa utoe mrejesho wa Valentine au vituko ulivyoviona
Me mwenzenu niko nacheki movie Maana shemeji yenu amenipigia simu mida ya saa nne amenambia hajisikii kutoka nafikili leo anataka...
Salama wadau humu ndani?
Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja.
Ni ndoto ya kila...
Za muda huu wapendwa poleni na majukumu,
Naomben ushauri wenu,
Nina mzazi mwenzangu tumezaa mtoto 1 kipindi cha uchumba alinitolea mahari ilibaki ndoa tu, badae kumbe nilikuja kugundua katupa...
Hivi Mwanaume anapopiga moyo konde akaja
kukutongoza, jibu si unakuwa nalo mwenyewe???
Kwani anakuwa ametongoza ukoo mzima,au
ndugu wote, au amemtongoza na Boyfriend wako
kwa pamoja??
Kama jibu...
Siku ya wapendanao au Valentine's day ina historia ndefu sana. Nifahamishe tunawaletea historia ya siku hiyo kwa mujibu wa vyanzo kadhaa vya historia ya siku hiyo.
Asili ya siku ya wapendanao...
Ukiwa na hela hata wanawake waliokukataa kwa
kigezo kwamba 'You are not good looking'
utashangaa wanakutumia meseji za 'Hallo
Handsome how are you'
japo wanajua kabisa una
sura kama Tambi za jiko...
Mda si mrefu nimetoka kusikia hii habari ambayo inatia simanzi kwa wanaume wafupi.Yaani mtoto wa kike amefunguka laivu mbele ya boi wake kuwa anapenda mwanamume mrefu, mwanamume ambaye inakuwa...
Ila hajawahi kusema ananipenda. Hela ananipa ila msg anachagua za kujibu,huwa hatuchat labda kama tunataka kumeet(tho nataman niwe nachat nae sana), Hayuko romantic hata tukiwa wote haongelei...
Ilikuwa kipindi cha karne ya Tatu dola ya kirumi ilikuwa chini ya mtawala Claudius II mtawala huyu aliamuru vijana wote wasioe bali waajiriwe katika jeshi la warumi, kwa yeye aliamini kuwa vijana...
Ni hivi kama tulivyokubaliana kwa kuwa kesho ni valentine day, watu wote wenye jinsia ya kiume ikifika usiku tunazima simu na kuangalia Uefa!
Msisahau tafadhali...
Natumai mu wazima,
Katika mapenzi/ndoa najua wengi tu wanaishi na wapenzi ambao wanajua kua sio waaminifu na wengine wakafumaniana kabisa na wakashindwa kuachana nao kwa sababu mbalimbali...
Ni jambo la kujipongeza sana nimeondoka CHAPUTA tangu September mwaka huu na sijarudi tena, Ee Mola naomba aniwezeshe niache kabisa ujinga huu niliouanza tangu 2009, unaaibisha sana, kwa wale...
Jamani kama mnavyotambua kesho ni siku nyingine ya wapendanao tarehe 14 February 2017. Ni siku ambayo watu wanashow love kwa wapendwa na wapenzi wao.
Sasa hoja yangu naomba tujadili zawadi yenye...
Sophia George Mwanamuziki wa kitambo yalimkuta akaamua kutunga wimbo uitwao Wanaume vijana wanapenda wasichana wengi wengi sana...Huko Caribbean jamaa alikuwa na mademu wengi na alimuahidi Sophia...
Wanaume tuwe makini na haya kuhusu wapenzi
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja...