bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Jamani kama mnavyotambua kesho ni siku nyingine ya wapendanao tarehe 14 February 2017. Ni siku ambayo watu wanashow love kwa wapendwa na wapenzi wao.
Sasa hoja yangu naomba tujadili zawadi yenye uzito na thamani kihisia ya mtu anayoweza kumpa mpenzi wake (demu, mke, mchepuko, mume, au sponsor wake). Tuangalie zawadi isiwe ya gharama sana ila yenye hisia kali na kuonesha ubunifu wa khali ya juu.
Karibuni sana. Binafsi nawapenda sana all JF members regardless our differences in giving our opinions on social issues.