Sura vs msambwanda unachagua kipi?

four eyes

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
905
1,406
Salama wadau humu ndani?

Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja.

Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka umbo na kwa sie waafrika toka kale tupo katika umbo tunamaanisha kalio lililoshiba vizuri yani msambwanda kwa lugha ya mtaani.

Lakini kwa bahati mbaya sio mara nyingi mtu hubahatika kupata seti iliyokamili, ndipo hapo napopenda kujua je kati ya binti mwenye sura nzuri lakini nyuma flat screen na binti asiye na sura nzuri ila nyuma amesheheni vizuri au ana umbo zuri upendalo utachagua yupi? Mimi binafsi msambwanda ndio ugonjwa wangu sura sio issue sana.

Karibuni wadau
 
Salama wadau humu ndani?Kuna hili suala ambalo Nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa Kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja.

Ni ndoto ya Kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka umbo na Kwa sie waafrika tipikale ktk umbo tunamaanisha kalio lililoshiba vizuri Yani msambwanda Kwa lugha ya mtaani.

Lakini Kwa bahati mbaya sio mara nyingi mtu hubahatika kupata seti iliyokamili,ndipo hapo napopenda kujua je kati ya binti mwenye sura nzuri lakini nyuma flat screen,na binti asiye na sura nzuri ila nyuma amesheheni vizuri au Ana umbo zuri upendalo utachagua yupi?mimi binafsi msambwanda ndio ugonjwa wangu sura sio issue sana.karibuni wadau
Kama kuna uwezekano wa kupata mwenye vyote I will go for the un-mentioned 3rd option
 
Nyie watu Mungu anawaona
d8613f6c7098f7f00ba8a117695299b4.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom