STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Hivi Mwanaume anapopiga moyo konde akaja
kukutongoza, jibu si unakuwa nalo mwenyewe???
Kwani anakuwa ametongoza ukoo mzima,au
ndugu wote, au amemtongoza na Boyfriend wako
kwa pamoja??
Kama jibu ni hapana mwambie tu, Am sorry siwezi kuwa na wewe coz nna Boyfriend tayari...Au sihitaji
Boyfriend kwa sasa...Majibu yako mengi na unayo
wewe uliyetongozwa!Simple
Sasa wewe unatongozwa,unaenda kumwambia
Boyfriend wako, ''ohhh u know that guy Masoud???
Kanitongoza nimemkataa''....So what?? Ili uonekane ulielewa sana matumizi ya NO au unamuimpress nani?? Mbona wale uliowakubali hukumpelekea
ripoti??
Usijifanye una Mapenzi ya Halmashauri
kupeleka ripoti kwa CAG,ukitongozwa jibu
unalo, ndo nyie mnafanya Wanaume wapigane visu
ili mtafute ujiko kwamba fulani na fulani wamenigombania, we umekuwa Jimbo laUchaguzi?
Kesi ya Nyani mmalizane nyani kwa nyani, mpe jibu
nyani humtaki aende zake,ya nini kuwaalika
Tumbili wawe mashahidi???