Nampenda mume wa mtu

Tuchki

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
1,740
1,441
jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
 
Hebu kwanza sema mlifikia wapi na huyu mpenzi wako? Kisha tutakushauri maana unaonekana ushauri wa watu humu ndani hauutumii ipasavyo.
Msaada; Ninataka kufunga ndoa lakini mpenzi wangu ni dini tofauti na yangu
mkuu compact huyu mpenzi wangu tunashindwana kwa sababu ya dini ndugu zangu hawataki kunifanyia sendoff sasa anataka nikaishi nae kama mume na mke ndipo tufunge ndoa baadae jambo ambalo mimi silitaki pia amekua mtu wa kunilaani sana kua amenisubir muda mrefu na ikumbukwe mimi Nina 24 years kipindi ananisubir nilikua mdogo sana sasa yeye ananiachia laana kila siku
 
Haupo serious kabisa.
Yaani unampenda mtu tiyari keshaoa halafu anakwambia anakupenda na wewe unamuamini?
Unadhani ipo siku atamuacha mkewe akuoe wewe?
Usijidanganye ndugu kama kuna mtu mwingine anakupenda na ana nia ya dhati kukuoa olewa nae achana na ndoa za watu.
Huyo mwanaume anakushika masikio tu hapo hana lolote siku ya siku utakosa pwani na bara.
 
Huyu inaonekana anatunga story. Nimeamini kuwa ili uwe muongo sharti ukumbuke ya nyuma
hakuna story ninayotunga mkuu yote ni ya kweli mpenzi angu tunashindwa kuishi pamoja kwa sababu ya dini hakuna alie tayari kubadilisha dini
 
Haupo serious kabisa.
Yaani unampenda mtu tiyari keshaoa halafu anakwambia anakupenda na wewe unamuamini?
Unadhani ipo siku atamuacha mkewe akuoe wewe?
Usijidanganye ndugu kama kuna mtu mwingine anakupenda na ana nia ya dhati kukuoa olewa nae achana na ndoa za watu.
Huyo mwanaume anakushika masikio tu hapo hana lolote siku ya siku utakosa pwani na bara.
anataka niwe 2nd wife
 
umeshasema mme wa mtu!!!!,tafuta wako acha kuvunja ndoa za watu, ingekuwa ni wewe alafu usikie mume wako anataka kuoa mwanamke mwingine ungejisikiaje?????????
 
Nakushauri uzae nae kwanza ili umpime uwezo wa kukutunza na mwanao. Tofauti na hapo anakudangajya
 
Back
Top Bottom