Jinsi ya kuishi na mpenzi/mke au mume asie mwaminifu

The Mandingo

New Member
Feb 13, 2017
1
4
Natumai mu wazima,

Katika mapenzi/ndoa najua wengi tu wanaishi na wapenzi ambao wanajua kua sio waaminifu na wengine wakafumaniana kabisa na wakashindwa kuachana nao kwa sababu mbalimbali.

Kupitia uzi huu tujuzane jinsi ya kuishi na mpenzi ambaye sio mwaminifu ili kupunguza maumivu katika mapenzi.

NB: Ikumbukwe kua sio kila unaemfuma unaweza kua tayari kumuacha kwa muda husika.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom