Je ni lazima kulea mimba hata kama nina mpango wa kulea mtoto?

New member toa basi hata like moja ndio uanze kuomba msaada. aisee unazani mimba ni maembe pori yanayojiotea tu bila malezi wala kumwagiliwa na yanatoa maembe matamu ya bure.

Watu kama wewe ndio wale wanaosema hata mama mtu akifa sio mbaya ili mradi upate mtoto.
 
Kulea mimba ni lazima? Hata kama nimeshafanya maamuzi ya kumlea mtoto atakapozaliwa?

Unaonaje ukaondoa hii thread yako kwa sababu mimba ndio mtoto mwenyewe tofauti ni stage na environment tu. Sasa bila mimba mtoto unayemfikiria wewe atatokea wapi?

Sayansi ya primary inakuelekeza vipi? Haya Biology secondary (ambayo ni ile ile sayansi ya primary) inakuelekeza nini?

[HASHTAG]#faiza foxy[/HASHTAG] tafadhari unaombwa huku kutoa ushauri juu ya sababu za kwenda shule.
 
Ukisha proof n yako huna
Bud kulea na hata kumtunza
Mtt akapozaliwa

Mwanaume kukataa dam yako
N laana mpaka makabur ya kwenu
 
Back
Top Bottom