Special treads: Mrejesho wa Valentine day na virtual vyake

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,053
1,304
658842a512ff764957e395a598acd6f6.jpg
b96978bad8dfb31b19656d26b528ff6d.jpg

Pitia hapa utoe mrejesho wa Valentine au vituko ulivyoviona

Me mwenzenu niko nacheki movie Maana shemeji yenu amenipigia simu mida ya saa nne amenambia hajisikii kutoka nafikili leo anataka kulala tu ndanu
 
Kumbe ndo wewe alikupigia simu saa nne, tuko zanzibar mida hii. Ahsante kwa ile nauli yetu uliyotuma jana.

Lakini mkuu "special treads" na "virtual" una maana gani?
 
Kumbe ndo wewe alikupigia simu saa nne, tuko zanzibar mida hii. Ahsante kwa ile nauli yetu uliyotuma jana.

Lakini mkuu "special treads" na "virtual" una maana gani?
Mkuu keyboard imeniibia maneno ninamaana ya VITUKO VYAKE
 
Kumbe ndo wewe alikupigia simu saa nne, tuko zanzibar mida hii. Ahsante kwa ile nauli yetu uliyotuma jana.

Lakini mkuu "special treads" na "virtual" una maana gani?
Mkirudi mjiandae na kesi ya Madawa ya kulevya
 
hahahaaah, hizo picha nimezipenda nasubiria za bitozi rais wa makapuku forum najua na yeye atarusha hapa
 
Back
Top Bottom