Wanaoongoza kwa uongo duniani ni wanaume

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,369
8,855
Katika utafiti nilioufanya hivi karibuni nimebaini asilimia 95% ya wanaume wengi wanaoongoza kwa UONGO na umbeya mwingi usiopimika. Na kama yuko na mtu pembeni au njiani yake na kama amepigiwa simu saa hiyo basi utamsikia akisema niko nimekaa hapa home nangaalia luninga, na kumbe yuko na mtu njiani tu, au wakati mwingine utakuta yuko na mpenziwe ataanza kumzungusha kwa maneno matamu sana na yenye ulaini hivi ili yule dada aone kuwa anapendwa, kumbe hapo anamzuga na kumlaghai tu hakuna ukweli wowote ndani ya mioyo yao wamejaa uongo mwingi ambao umepelekea kuleta majuto kwa wakiadada wengi.

Familia nyingi zimesambaratika kutokana na WANAUME wamekuwa walaghai wasiopimika, na wenye utovu wa nidhamu uliokithiri sijui nini kimewapata mpaka wamekuwa hivyo. Ukiona jambo la ajabu linatokea duniani basi ujue nyuma yake kuna mwanaume aliyehusika mpaka jambo hilo limetokea. Ukiona Uchumi unayumba basi mwanaume ndiye amekuwa sababisho la kuporomoka kwa uchumi wamekuwa watu walaghai na wazandiki sana. TUFANYE NINI ILI TUWAPONYE WANAUME WETU HAPA TZ? Basi changia hoja yako hapa ili tuwarekebishe hawa makaka zetu na mababa zetu.

Samahani sana mwanaume wa humu jf kama utajisikia vibaya kwa post hii kwani wameniuzi sana wanaume ndo mana imebidi nipost ili turekebishe Taifa letu na kizazi chetu
 
Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,673
1,693
Kuna wanaume ni wafukunyuku sijawahi ona..anaweza akakufuata kabisa si kwakukujulia hali bali kukueleza habari za watu,macho meupeee hadi evidence anakupa..na wanaume wa design hii..huwa mara nyingi hawanywi pombe,hawapendi michezo ila kwa kutongozaaaa hawajamboo ukimkataa sasaa..
 
Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,401
2,324
Nilikupenda kisa mi sio staa ukanitosa kisa hasanali anakujua,enzi za chuo ukawa unazungusha,leo nimekushtukia acha .....chukua timeeee ...we tapeli mzugaji....mi sikutaki ndio..nipo hapa ndio alinipenda kabla cjatoka binti........... Chukua timeee chukua timeeee ......mi naimba tu jmn wala haiusiani na kitu chochote
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
49,815
35,920
Me nataka kujua tu
*sample size ulio tumia kufanya utafiti
Nasitegemei uniambie uliwahoji wanawake tuu.

Katika utafiti nilioufanya hivi karibuni nimebaini asilimia 95% ya wanaume wengi wanaoongoza kwa UONGO na umbeya mwingi usiopimika. Na kama yuko na mtu pembeni au njiani yake na kama amepigiwa simu saa hiyo basi utamsikia akisema niko nimekaa hapa home nangaalia luninga, na kumbe yuko na mtu njiani tu, au wakati mwingine utakuta yuko na mpenziwe ataanza kumzungusha kwa maneno matamu sana na yenye ulaini hivi ili yule dada aone kuwa anapendwa, kumbe hapo anamzuga na kumlaghai tu hakuna ukweli wowote ndani ya mioyo yao wamejaa uongo mwingi ambao umepelekea kuleta majuto kwa wakiadada wengi.

Familia nyingi zimesambaratika kutokana na WANAUME wamekuwa walaghai wasiopimika, na wenye utovu wa nidhamu uliokithiri sijui nini kimewapata mpaka wamekuwa hivyo. Ukiona jambo la ajabu linatokea duniani basi ujue nyuma yake kuna mwanaume aliyehusika mpaka jambo hilo limetokea. Ukiona Uchumi unayumba basi mwanaume ndiye amekuwa sababisho la kuporomoka kwa uchumi wamekuwa watu walaghai na wazandiki sana. TUFANYE NINI ILI TUWAPONYE WANAUME WETU HAPA TZ? Basi changia hoja yako hapa ili tuwarekebishe hawa makaka zetu na mababa zetu.

Samahani sana mwanaume wa humu jf kama utajisikia vibaya kwa post hii kwani wameniuzi sana wanaume ndo mana imebidi nipost ili turekebishe Taifa letu na kizazi chetu
 
Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
9,963
Nilikupenda kisa mi sio staa ukanitosa kisa hasanali anakujua,enzi za chuo ukawa unazungusha,leo nimekushtukia acha .....chukua timeeee ...we tapeli mzugaji....mi sikutaki ndio..nipo hapa ndio alinipenda kabla cjatoka binti........... Chukua timeee chukua timeeee ......mi naimba tu jmn wala haiusiani na kitu chochote
dah,mistari mikali sana mkuu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom