Mume wa mtu ananitatiza

teenwolf

Senior Member
Feb 12, 2017
122
76
Ila hajawahi kusema ananipenda. Hela ananipa ila msg anachagua za kujibu,huwa hatuchat labda kama tunataka kumeet(tho nataman niwe nachat nae sana), Hayuko romantic hata tukiwa wote haongelei mapenzi its like hana interest na mm ila kwenye kunjunju anahakikisha naenjoy.

Najua ana mke ila nmeanza kufall na ni my frst mchepuko ila s.times kuna vitu anafanya simuelewi. Kuna siku aliniuliza kitu ili kumjibu ilitakiwa "nifukue kaburi"(past rtnshp) mara gafla akakataa akasema niache,wakat yeye ndio kauliza.

Siku nyingne nkikataa kupokea hela zake anamind and unamuona sura imechange, Siku nyingine tena kanikuta naongea na mchumba wangu kwenye simu akasusa(japo hakusema ile simu ndio sababu ila alijifanya he has other thing to do,akaondoka).

Hatujawahi kugombana. wanaume wenye michepuko mkifanya hivi mnamaanisha nini? natamani kumuelewa zaidi,
wengi mtasema niachane nae ila ndo ananitimizia mahitaji yangu mengi sana.
 
Mleta uzi, unavyoandika tu inaonesha ni kweli teenwolf with white fangs! Umeandika kuwa ni mume wa mtu. Mazingira yanaruhusu hadi uzeeke naye? Jibebishe hadi akuoe maana mkarimu huyo, ndoa nne si haramu. Teenwolf, bite him hard!
 
halafu una mchumba,,,,,mchepuko chanya + mchepuko hasi =???????.... halafu unajistukia kabissa kwamba unafanya ukahaba.... ukimwi upo......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom