Katika mahusiano ya uchumba unatakiwa kuidhihirisha tabia yako halisi ikiwemo madhaifu yako, ili mwenzi wako ajue nini anachokwenda kukutana nacho katika maisha yenu ya ndoa, ili ajipange namna ya...
lara 1 nilikwambia siku nyingi tunataka kitabu, hunielewi, naanza kwa hii lara 1 Compilation No.1- 2012, labda itaku inspire.
Hello! Kwanini nimejiunga Jamii forums na nia ya kuleta mabadiliko...
Heri ya mwaka mpya wakubwa,
The guy nilishamsemelea sana humu sasa nimepata mbadala wake, nimemuacha aende zake. Sitamlilia tena nimepata mwanaume anaejielewa, so lovely, nina furaha japo sijampa...
Wanawake wake watu wa ajabu sana hivi ukimwambia ukweli mwanaume kuwa nipo kimahusiano unapungukiwa nini kuna tabia ya baadhi ya wanawake wakitongozwa wanakubali kinacholeta utata zaidi ni pale...
Kumsahau inawezekana ,ila lina ugumu wake ,
Wapo wanaofanikiwa kuwasahau wapenzi wao ,na kuendelea mbele na maisha na kukutana na wapenzi warobora zaidi ya yule alotangulia...
Na wapo ambao...
Habari za jumamosi wapendwa......
Kwa neema za Mungu nina hakika sote tu wazima wa afya tele.....na wale walio kwenye mitihani ya maradhi basi Mungu awajaalie uzima wa afya tele.........
Bila ya...
yaani i never expect him to ruin my valentine!!..
Wakuu mimi nina mdogo wangu wa kiume aged 14 years. Kiukweli dogo ni bonge la hb na anakaa kwangu since yupo std 5 now yupo form 2. Na mimi ndo...
Habari za wikiendi,
Kuna hii tabia ya wanawake karibu wote akipata mpenzi mpya kumtangaza kwa ndugu zake, marafiki zake, ex wake. Nimeangalia kwa upande wetu wanaume, mwanaume akiwa hata na...
Habari za weekend wakuu,
Nimeona kheri niwaletembelee leo Ijumaa, maana J'mosi huku kwetu Kwamtogole maandazi na chapati vinauzika sana. Inawezekana nisipate nafasi ya kusabahi kesho na...
Wana jamvi,
Nilimpa rukhsa mke wangu ya kwenda kwao kwa ajili ya matibabu, mwisho wa mchezo kakataa kurudi nyumbani na matusi pamoja na kashfa imekua ndo malipo yangu.
Wakati ukiangalia alikua...
wanajamvi
wazee kwa vijana!
nimetumia neno swaga ingawa liko outdated lakini nimelitumia ili tu muelewe nnachotaka kusema!
wanawake hata kama ana miaka 1000 hakuna kitu kinampa "attention"kubwa...
Habarini wadau,
Kuna jambo Moja nimeligundua kutoka kwa hawa mabinti kwa hali halisi duniani hapa wanaume tupo wachache sana kuliko wanawake hivyo basi mwanaume kumiliki wanawake wa 4 au 5 si...
Habari za jioni mabibi na mabwana,
Baada ya kitambo kirefu cha kupotea humu, leo nimekuja na habari ambayo nimekutana nayo mwisho wa wiki iliyopita.
Ilikuwa hivi, kulikuwa na mtoko flani hivi...
Binafsi nakiri kupitia kipindi kigumu kupita maelezo kusema kweli.
Iko hivi umri wangu unaniruhusu kabisa kupata mwenza au kuwa na mke kabisa au kama kusema nakaribia kuchelewa yaani kuanza...
Wanawake wa humu ndani acheni tabia zenu za kujifanya mko serious kutafuta wachumba kumbe mnajiuza, utasikia hebu nipe kwanza nijue namna ulivyo na sie tunawajaribu kwanza siwezi kukuambia ukweli...
You know how they say theyre more women than men in the world Some people have used this statistical imbalance as a valid justification for polygamy and keeping your options open. Whether this...
Hodi wanaJF,
Trending news ni Makonda na vita thidi ya madawa ya kulevya, naunga mkono mapambano hayo, lakini naendelea na ratiba yangu ambayo leo ndio siku yangu rasmi ya kutangaza nia ya...
Ni wakati mgumu sana pale unapohitaji mwenzi wa maisha, jambo kubwa na la msingi ni kumshirikisha Mungu sana, pia uwe na subira kuwa ipo siku aliye wako utampata. Usikurupuke kwani utaja juta...