Amina.Ni siku za mwisho ambapo imetajwa kuwa upendo wa wengi utapoa. Hii ina apply sehemu zote za maisha yetu na siyo kwenye kutafuta mwenza tu.
Mshirikishe Mungu kwa ww kuwa mume au mke mwema kwa ndugu na jamii yako. Katika kutenda hayo, utakutana na mnaeendana na kufaana.
NB: Msaliti hana alama.
Tatizo tunafosi kutafuta wenza kwa vigezo vya uzuri na mali.Mwenza anayefaa ni yule ambaye mnalandana tabia,busara na mienendo na ambaye mkiwa kwenye uhusiano inakuwa kama ntu na rafiki yake
Eeeeeeh acha tu aiseeeeSi rahisi aisee
Cku hz hakuna hyoTatizo tunafosi kutafuta wenza kwa vigezo vya uzuri na mali.Mwenza anayefaa ni yule ambaye mnalandana tabia,busara na mienendo na ambaye mkiwa kwenye uhusiano inakuwa kama ntu na rafiki yake
Kitu cha kwanza, na muhimu Duniani kwa maisha ya binadamu, Ambacho ni adimu kuliko hela Ni Mke/Mume bora!Ni wakati mgumu sana pale unapohitaji mwenzi wa maisha, jambo kubwa na la msingi ni kumshirikisha Mungu sana, pia uwe na subira kuwa ipo siku aliye wako utampata. Usikurupuke kwani utaja juta maisha yako yota.
Hongera sanaMi sikutafuta ilikuja yenyewe automatically,tunafanana vitu vingi kiasi kwamba sidhani kama kuna mwingine ntapata kumzidi,kabla ya hapo tulikuwa majirani tu kwa miaka sita,sikuwahi kumtamani wala kuwa na hesabu naye,baada ya kutendwa mara kadhaa nikaonelea nitafute mtu wa kujipoza,nilipomtokea ndo ikawa moja kwa moja,tuna five years now! One kidboy..huwa kwa pamoja tunakiri kuwa kuna nguvu iliyofanya tuwe pamoja,mahusiano yake ya nyuma hakuwahi kudumu kwa mwaka mmoja yote miezi michache chaliii,namimi pia hivyohivyo,tunamuomba mungu tuendelee kudumu,coz changamoto za hapa na pale hazikosekani katika maisha.
u were meant to be togetherMi sikutafuta ilikuja yenyewe automatically,tunafanana vitu vingi kiasi kwamba sidhani kama kuna mwingine ntapata kumzidi,kabla ya hapo tulikuwa majirani tu kwa miaka sita,sikuwahi kumtamani wala kuwa na hesabu naye,baada ya kutendwa mara kadhaa nikaonelea nitafute mtu wa kujipoza,nilipomtokea ndo ikawa moja kwa moja,tuna five years now! One kidboy..huwa kwa pamoja tunakiri kuwa kuna nguvu iliyofanya tuwe pamoja,mahusiano yake ya nyuma hakuwahi kudumu kwa mwaka mmoja yote miezi michache chaliii,namimi pia hivyohivyo,tunamuomba mungu tuendelee kudumu,coz changamoto za hapa na pale hazikosekani katika maisha.