Wanawake Vizinga

Majamunda

Member
Feb 17, 2017
22
19
Wanawake wa humu ndani acheni tabia zenu za kujifanya mko serious kutafuta wachumba kumbe mnajiuza, utasikia hebu nipe kwanza nijue namna ulivyo na sie tunawajaribu kwanza siwezi kukuambia ukweli sasa kamwanamama ka JF ukikaambia tu hauna kazi una mishemishe zako za kitaa hakakutafti tena kumbe mmekaa ki maslahi zaidi, acheni hizo wahudumieni waume zenu
 
Yamekukuta ??
 
Mwache kulalamika nyie jamaa.
Hivi nani atakupenda pasipo hata na senti? Kuanzisha familia hatuangaliii sura ya mtu na moyo wa mtu tu. Sababu kama hali ya uchumi wa mtu ni muhimu.

Nani anapenda kulala njaa, au wanawe washindwe kusoma kisa eti anaupendo wa Dhati? Hakuna upendo usio na sababu. Binafsi siwezi kutengeneza mahusiano ya ndoa kwa mwanamke ambaye atanilalia. Hili lipo wazi labda muendelee kujipa mioyo tu.
 
MKUU,

WEKA PICHA KWANZA.
 
We jamaa acha mambo yako, hivi unadhani upendo ungekua unaangalia pesa wewe ungekua na mwanamke? wanawake wote wangeolewa na akina Manji, Mengi, Bakhlesa na wengine wenye pesa zao ila wewe na hele yako ya kula usingepata kitu. kama wanataka wachumba kweli wajitoe muhanga ile tuje tutafte pamoja na si kutaka miteremko
 
Tafuta pesa wacha kulalama ahaaa eti kamwanamama kah jf vimekuchuna vingap.
 
Mwache kulalamika nyie jamaa.
Hivi nani atakupenda pasipo hata na senti? Kuanzisha familia hatuangaliii sura ya mtu na moyo wa mtu tu. Sababu kama hali ya uchumi wa mtu ni muhimu.

Nani anapenda kulala njaa, au wanawe washindwe kusoma kisa eti anaupendo wa Dhati? Hakuna upendo usio na sababu. Binafsi siwezi kutengeneza mahusiano ya ndoa kwa mwanamke ambaye atanilalia. Hili lipo wazi labda muendelee kujipa mioyo tu.
Upendo wa sababu sio upendo. Mapenzi na pesa wapi na wapi? Ndo mana ndoa zinaanguka.
 
We jamaa acha mambo yako, hivi unadhani upendo ungekua unaangalia pesa wewe ungekua na mwanamke? wanawake wote wangeolewa na akina Manji, Mengi, Bakhlesa na wengine wenye pesa zao ila wewe na hele yako ya kula usingepata kitu. kama wanataka wachumba kweli wajitoe muhanga ile tuje tutafte pamoja na si kutaka miteremko
tutafute pamoja alafu tukipata uanze kuhonga wakina wema? Wee tafuta tu ukipata njoo tuowane
 
hahahaaaa!!! mkuu picha ya nini tena mimi ni mpya humu lakini nimepata malalamiko kwa rafiki zangu waliokua member nikaona nijiunge ili kufikisha huu ujumbe kwa wahusikia
Yaani humu kila anayepost husingiziaga rafiki yake. Duh!
 
We jamaa acha mambo yako, hivi unadhani upendo ungekua unaangalia pesa wewe ungekua na mwanamke? wanawake wote wangeolewa na akina Manji, Mengi, Bakhlesa na wengine wenye pesa zao ila wewe na hele yako ya kula usingepata kitu. kama wanataka wachumba kweli wajitoe muhanga ile tuje tutafte pamoja na si kutaka miteremko
Nielewe vizuri upendo sio pesa ila pesa inamchango kwenye kupendwa na kupenda.
Pia elewa,
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake na hapo inategemea huyo mbuzi kafungwa wapi.

Bakhresa atakula vya levo yake na mimi nitakula vya levo yangu na wewe Utakula vya levo yako.

Hakuna upendo usio na sababu mzee. Hakuna mtu wa kukupenda from no where tu mzee.

Chukulia instance hii.
: mwanamke kapendwa na mtu mwenye pesa na kapuku. Wote wanamjali, wanamheshimu na kumthamini. Na mwanamke pia anawapenda wote. Ila jamaa wa pili hawezi kumhudumia mtoto kama anavyofanya jamaa wa kwanza. Nani atamchukua mtoto?
 
Back
Top Bottom