Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Kumsahau inawezekana ,ila lina ugumu wake ,
Wapo wanaofanikiwa kuwasahau wapenzi wao ,na kuendelea mbele na maisha na kukutana na wapenzi warobora zaidi ya yule alotangulia...
Na wapo ambao huishia njiani kitokana na ugumu wa jambo hili ,na kujikuta wanashindwa kuushinda moyo ,na matokeo yake Hubaki watumwa wa hao wapenzi wao..
Lengo la kuleta uzi huu ni kupeana changamoto ambazo ulishawai pitia katika kipindi hiki cha mpito na namna ulivyoweza kukabiliana na kusonga mbele,
Ebu wakuu mje tupeane hapa mawazo kuna mengi ya kujifunza katika hili