adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
wanajamvi
wazee kwa vijana!
nimetumia neno swaga ingawa liko outdated lakini nimelitumia ili tu muelewe nnachotaka kusema!
wanawake hata kama ana miaka 1000 hakuna kitu kinampa "attention"kubwa kama mikogo kutoka mwanaume!!
huna pesa hujatoka familia bora ila kuwa na swaga tu hata kama zile za marehemu kamata mwizii meeen..watoto wanachanganyikiwa kupita kiasi weka fesibuku picha umepuliza mashavu umetinda nyusi watoto hoi juu yako hata kama unaishi homu bado huna hata mia watakukimbilia......!!!
piga picha umepanda mwendokasi
weka fesibuku watoto wa mikoani watakutongoza wenyewe hutumii hata nguvu nyingi papuchi ya dezo kabisa unapata....!!
suka nywele weka dawa hadi ufanane nao wadada watakugombania hata huna sumuni mfukoni we ni pauka pakawa.kama wale vijana wa jamhuri ya kidemokrasia ingawa kwao hakuna demokrasia..!!!!
piga picha na magari ya wanaume wenzio hata wewe kondakta tu watajigonga balaa..!!
hawa viumbe hadi leo hata akili zao bado hawazijua zinafananaje.