Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Habarini wadau,
Kuna jambo Moja nimeligundua kutoka kwa hawa mabinti kwa hali halisi duniani hapa wanaume tupo wachache sana kuliko wanawake hivyo basi mwanaume kumiliki wanawake wa 4 au 5 si dhambi.
Sasa suala linakuja hivi kama mnavyojua siku hizi kukuta boy ambae hana msichana angalau mmoja ni ngumu, mimi nna mpenzi ambae nimetoka nae mbali lakini kutokana na kukaa mbalimbali nikachepuka kwa mdada mmoja nikaanza kutoka nae kumbe aliweka malengo aje kuishi na mimi baada ya muda flani tukazinguana tukatengana lakini mwezi January kaomba turudiane .
Mi nikamwambia poa hivi majuzi ananiambia tuambiane ukweli akaanza kusema yeye ana mchumba wake yupo JKT depo nami nikamwambia nami nina mke wangu anafanyia kazi somewhere lake zone, tangia hapo yule msichana kaanza kunilaumu na kuleta wivu, yeye alitaka ukweli sasa nimemwambia lakini analalamika je kosa langu liko wapi?