Mwanamke kama humpendi mwanaume bora umwambie ukweli

makalango

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
451
254
Wanawake wake watu wa ajabu sana hivi ukimwambia ukweli mwanaume kuwa nipo kimahusiano unapungukiwa nini kuna tabia ya baadhi ya wanawake wakitongozwa wanakubali kinacholeta utata zaidi ni pale wanaposema kusex mpaka ndoa huku akijua kabisa ana mtu ambaye anampa utamu kwani ukisema ukweli unapungukiwa nini?

Mbaya zaidi ni sisi wanaume unamkubalia kabisa mwanamke anayekuambia upuuzi kama huo hivi wewe mwanaume hujui hata kusoma alama za nyakati?

Unaingia mktaba na mwanamke kama huo na unatoa huduma zote ukijua utaoa kumbe unapoteza muda wako tu, kabla ya kuingia mktaba wa kimagungo kama huo jiulize je wewe ndio utakuwa wa kwanza kwake?

Tubadilike wanaume wenye kasumba ya kukubali kila aina ya masharti ya wanawake huku wenzako wanakula kilaini sana, lasivyo tutakuwa tunalazwa mara kwa mara pale the Jakaya Kikwete foundation na kuwekewa betri kwenye moyo.
 
wanawake wake watu wa ajabu sana hivi ukimwambia ukweli mwanaume kuwa nipo kimahusiano unapungukiwa nini kuna tabia ya baadhi ya wanawake wakitongozwa wanakubali kinacholeta utata zaidi ni pale wanaposema kusex mpaka ndoa huku akijua kabisa ana mtu ambaye anampa utamu kwani ukisema ukweli unapungukiwa nini? mbaya zaidi ni sisi wanaume unamkubalia kabisa mwanamke anayekuambia upuuzi kama huo ivi wewe mwanaume hujui hata kusoma alama za nyakati? unaingia mktaba na mwanamke kama huo na unatoa huduma zote ukijua utaoa kumbe unapoteza muda wako tu, kabla ya kuingia mktaba wa kimagungo kama huo jiulize je wewe ndio utakuwa wa kwanza kwake? tubadilike wanaume wenye kasumba ya kukubali kila aina ya mashart ya wanawake huku wenzako wanakula kilaini sana lasivyo tutakuwa tunalazwa mara kwa mara pale the Jakaya Kikwete foundation na kuwekewa betri kwenye moyo
Akikwambia sex mpeka ndoa ujue anakupima uwezo wako maana kama anakupenda kunyimana ni dhambi.......
 
Mtu mwenyew anaekwambia sex mpka ndoa utakuta kashagegedwa saaana tu...
Hilo shart ni gumu sana kama mganga anayetaka shahawa za sisimiz shoga halitekelezek...
Akikupa hilo shart we usibshane nae mkubalie mubashara lkn kichwan kwako usimpe maanan sana then ibak salam tu akijibebisha unampa maneno mawili matam then unalala mbele hamna kuwekeza wala nn tafuta demu mwingne gegeda endelea na maisha yy muache asubir ndoa
 
Mimi siwez kuingia mkataba wa kimagungo kama huo....nasema tena siwez.
 
Hivi bado kuna watu wanawekewa mikataba!?Poor them.
Huwa nikikutana na hao wa no sex before marriage huwa najifanya nimekubali.Ajabu kabla ya jua kuchomoza nakuwa nimeshakula mzigo.Mambo mengine ni usharp wako tu.Vinginevyo mtalia kila siku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom