FakeGirl Naomi
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 226
- 705
Wakuu, hili ni swali
yaani nataka kujua tu, SIO KWAMBA INANIHUSU
NATAKA TU KUFAHAMU
Kama nina mpenzi anayetaka ule mchezo, na mie siutaki
Naweza kumshtaki kwa lengo la yeye aache kutaka, na sio afungwe? (tuchukulie bado nampenda)!
Yaani kuna pahali kisheria naweza mtishia hata kwa vitendo akaacha bila kuniacha? Changia kama una cha muhimu, sio bora mchango
Nasubiri kutupiwa mawe, kama kawaida yao.