vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,599
Habari zenu wakuu,
Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu ya kujenga taifa.
Okay, let me cut the crap ishu iko hivi.
Siwezi kuwa na urafiki na mwanamke au nikazoeana na mwanamke kwa wiki kisha nisimtongoze yani natongoza almost kila mwanamke ninayezoeana nae wengine naanza kwa kuwaheshimu balaa mwanzoni then tukianza tu kuchati basi nipe dakika tano tu nitaanza kuflirt then mwisho wa siku namtongoza sasa kibaya zaidi girl akikataa ndo napata mzuka zaidi wa kumtongoza yaani hata machozi nitatoa na story kibao za uongo.
Sasa cha ajabu ni kuwa akikubali tu basi mapenzi yote yanaisha na dakika hiyohiyo naanza kuona kasoro zake. Mfano kuna binti mmoja wa accounts hapa ofisini kwetu mwanzo nilikuwa sina time naye sasa kosa alilolifanya ni kunitext nikaverify mambo flani ofisini kwao hapo ndo tukaanza kuchat nilipoenda nikakakuta kanatabasamu mtu mzima nikalianzisha.
Mwanzoni kakawa kanakataa but nimekomaa hadi kutoa machozi, mwisho wa siku juzi hapa ndo kamenikubali. Sasa the minute aliponikubali ndo nikanotice kuwa ana pua kubwa balaa alafu ina matundu makubwa na minywele imeota ndani kibao hadi inatokeza kwa nje.
Yani akiwa mbele yako hata akiinamisha kichwa kwa mbele matundu ya pua bado yanaonekana kingine macho yake yani akiwa anakuangalia macho yanakuwa yameelekea pembeni kama anaangalia pembeni lakini ndo anakuangalia, mpaka muda huu sijamtext tena na kanipigia leo sijapokea.
Sasa kila mwanamke akinikubali hata kama nimeingia costs vipi za kumtongoza mwisho wa siku nampotezea na wala sio kuwa nawagegeda no yani ile akishakubali tu mi stim zote zinaniisha nampotezea.
Au ni mapepo?