Rafiki wangu wa kike ni jini, nampenda sana, naye ananipenda sana

REALITY

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
3,952
2,000
Wadau how are you ,nimempata mwanamke mmoja mitaa ya kibaha very pretty ila ni mwanga she can fly , bring precious stones, money, kill, fight and so many ila kwangu ni harmless maana ananipenda sana nami nampenda maana anidhuru ila kudrop hii post ni kitu kimoja ananiambia akinipatia mtoto wa kiume anataka atoe sadaka kwa falme zao of which mimi hapo tu napinga or else mpenz niliyekuwa naye kabla yake.

Nami kumwacha ni ngumu maana napata vingi kupitiliza anybody familiar with black forces ,think for a second kuwa yuko normal kama other women ila upande wa pili ndo mambo ya giza na nikimwacha i believe yupo on my back.
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,566
2,000
wadau how are you ,nimempata mwanamke mmoja mitaa ya kibaha very pretty ila ni mwanga she can fly ,bring precious stones,money,kill,fight and so many ila kwangu ni harmless maana ananipenda sana nami nampenda maana anidhuru ila kudrop hii post ni kitu kimoja ananiambia akinipatia mtoto wa kiume anataka atoe sadaka kwa falme zao of which mimi hapo tu napinga or else mpenz niliyekuwa naye kabla yake ,nami kumwacha ni ngumu maana napata vingi kupitiliza anybody familiar with black forces ,think for a second kuwa yuko normal kama other women ila upande wa pili ndo mambo ya giza na nikimwacha i believe yupo on my back
Ndege wafananao huruka pamoja... hapo ni kwamba wachawi wawili, mmoka mchawi mwanamke mwingine mchawi mwanaume wanaishi pamoja
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,556

si ajabu hata wewe mwenyewe unayeandika hapa ni jini, manake mmejaa kwenye mitandao balaa mkijifanya watu. shindwa kwa Jina la Yesu Kristo.tupwa kuzimu huko.
 
Passion Lady

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
8,674
1,500

Hana KakA ake anipe mm...napenda bby jini
 
khaligraph

JF-Expert Member
Nov 19, 2016
592
500
Ha ha ha ....we jamaa unazingua! Atoe sadaka?? Kwann asiwatoe wale anaofanana nao (majin wenzake ). Kama yupo kweli mwambie anazingua sana...
 
baba frances

Member
Dec 18, 2016
39
125
Komaa nae siunapenda mitelemko were athali zake utaziona na utakuwa ushachelewa Kwa maana unavyoelezea inaonyesha Kwa sasa hushauriki ila (tega sikio asije akasikia wanadhuru sana)
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,566
2,000
si ajabu hata wewe mwenyewe unayeandika hapa ni jini, manake mmejaa kwenye mitandao balaa mkijifanya watu. shindwa kwa Jina la Yesu Kristo.tupwa kuzimu huko.
KAMA ni kuwepo kwenye mitandao, tupo pamoja..
 
IMERN

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
482
1,000
Nina imani ipo siku utaanzisha thread ya matatizo aliyo kusababishia huyo jini wako
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,556
2,000
Ha ha ha ....we jamaa unazingua! Atoe sadaka?? Kwann asiwatoe wale anaofanana nao (majin wenzake ). Kama yupo kweli mwambie anazingua sana...
sasa mwanamke mwenyewe ni jini, mtoto atakuwa nusu jini nusu mtu, ana faida gani sasa hapo? wewe kama mwanadamu utakuwa na ufahari kuwa na mtoto jini? si bora amchinjilie mbali huko?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom