kalamu na karatasi
Member
- Jul 26, 2015
- 49
- 30
Habari Wakuu,
Nimekua nikijiuliza bila kupata jawabu kuntu juu ya suala hili,
Katika Uhusiano wa kimapenzi,Hivi kuna uwezekano kwa mtu ambae hamjawahi kuonana kabisa.Kwa maana kufahamiana Kwa sura kuja kuoana na kuwa na maisha mazuri ya kindoa??
Tuchukulie kufahamiana kupitia mitandao ya kijamii kama jamii forum au simu tu.