Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
Hello wakubwaa!!
Hakika kuna watu tunabahati katika maisha. Mapenzi ni utamu kwenye ulimi wa moyo hasa umpate akupendaye.
Ilikuwa mwaka juzi 2015 nilipokuwa kuwa natoka Nyumbani Moshi naelekea Dar es salaam chuoni. Hakika safari ile ilikuwa safari salama, safari yenye utamu ambao mpaka Leo ladha yake haijaisha moyoni mwangu. Taswira yake bado inapita katika kichwa changu.
Wakati nipo kwenye siti ya dirishani aliingia mrembo mmoja ambaye alijivalia miwani myeusi. Kuingia kwa mrembo huyu tukiwa pale Mwanga kulifanya abiria wote wamshangae kutokana na jinsi alivyopendeza. Mrembo huyu alipuuzia kushangawa kule. Inaonekana alizoea hali ile, hali ya watu kustaajabia uzuri na urembo wake.
Kwa nasibu siti iliyokuwa imebaki ilikuwa ni pale nilipokuwa nimekaa hivyo alikuja na kukaa karibu yangu. Huku akinisalimia na kuendelea kujiweka sawia kwenye kiti. Hakika sauti yake iliweza kuvunja utando katika ngoma ya masikio yangu. Ilikuwa sauti tamu Sana. Utamu wake ulichagizwa na kiswahili chake chenye lafudhi ya kigweno. Kigweno ni Pijini baina ya kipare na kichaga.
Basi safari iliendelea nikiwa ninadukiduku la kusikia tena sauti ya mrembo huyu ambaye muda huu alikuwa ametoa Simu yake kubwa ya Samsung Galaxy. Muonekano wake ulimuonyesha Kama mwanamke ambao kwao hela ilikuwa sio agenda. Kwani simu tuu ilitosha kumuelezea achilia mbali manukato yake yaliyokuwa yakiifanya pua yangu kushangilia muda wote.
Tulifika Mombo na kuingia Hotel ya Liverpool. Kwa Mara nyingine mrembo yule aliweza kuongea.
"Sorry, unashuka kuchukua chakula?"
Aliniuliza akitoa earphone zake masikioni.
"Yeah nashuka"
"Sijui naweza kukuagiza, samahani lakini"
Wee asikuambie mtu kitendo cha yeye kuniambia vile ilikuwa fursa kubwa Sana kwangu. Basi aliniagiza Chips kuku pamoja na Sausage na Vijuisi vya hapa na pale. Mimi sikuwa na pesa ya chakula zaidi ya kuchukua tuu maji.
Nilirejea ndani ya Basi na ndipo maongezi yalipopamba moto. Alinikaribisha zaidi na zaidi lakini nilikataa nakumwambia kuwa silagi ndani ya gari kwani nahisigi kichefu chefu. Sio kwamba silagi kweli bali siunajua tena Mwanaume lazima utie ugumu kwa baadhi ya mambo hasa katika siku za mwanzoni kwa mtu ambaye hamfaamiani.
Hapa na pale Mara ubungo hii hapa. Tulikwisha ongea mengi mno. Na namshukuru Mungu kwa stori nimebarikiwa. Mtoto kucheka alikuwa Kama kapagawa na Stori zangu. Na Mimi ningali nikijua napaswa nicheze zaidi ya Messi ilinibidi nizidishe chumvi kumfanya mtoto azidi kukolea. Nilimkoroga mpaka akakolea.
Mtoto hajamaliza kupumua kashataja jina lake tena kwa kubana matundu madogo ya pua yake iliyochongoka.
"Naitwa Arafa"
Hajacheua katoa namba.
"067476576*".
Mafisi wa humu ndani wasije mcheki bure.
Basi ubungo hii hapa.
Kumbe tunaenda Wote Sinza sema yeye ni Sinza Madukani na Mimi Sinza Mori.
Akanambia kwa vile yeye anakuja kuchukuliwa na gari basi tunaweza kuenda wote. Mwanaume nikachomoa.
Nikamwambia kuna sehemu napitia. Sio kwamba kweli nilikuwa kuna sehemu kweli nilikuwa napitia bali nilikataa tuu.
Wallah tunashuka ndani ya gari macho yangu yalishindwa kushangaa Msambwanda alionao Arafa. Arafa alifungasha jamani Akadumba. Na kile kisuruali mtelezo alichokivaa kilichochora chupi hakuna ambaye hakuweza kutumbua mimacho.
Tetemeko la Akadumba ya Arafa ilionyesha wazi ulaini wa Akadumba yake. Tako lilikuwa likitingishika Mara kwa Mara.
Alinifuma nikiwa naliangalia tako lake then tukaangaliana kisha wote tukaishia kutabasamu.
Nilijiapia moyoni kumuacha Mtoto mkali Kama Arafa nitakuwa sijautendea haki moyo wangu. Tayari upinde wa mapenzi wenye rangi Saba ulishajitokeza katika moyo wangu. Sikuwa tayari kumkosa mrembo Arafa.
Gari aina ya Murano ilisimama mbele yetu kisha kioo cha tinted cha dirisha kikateremka taratibu huku ndani ya gari ikianza kujitokeza sura ya mmama mweupe aliyevaa miwani ya rangi Kama ya ugoro huku masikioni mwake kukiwa na hereni kubwa za mviringo.
Arafa alimsalimia kisha na Mimi kwa kujiiba nikamsalimia. Aliniitikia sio kwakujali sana na Arafa akanambia Niingie ndani ya gari lakini nikamwambia asijali kwani kuna sehemu ninapitia.
"Unapitia wapi" mama yake Arafa aliuza.
"Magomeni"
"Kama ni Magomeni basi panda maana hata mimi napitia huko"
"Usijali Mama, ahsante"
Waliondoka baada ya kuona nimekataa.
Usiku tulianza kuchat kupitia What's app. Arafa alinitumia picha zake katika pozi tofauti tofauti.
Ipo moja aliyovalia bikini ambayo kwa kiasi kikubwa msambanda wake uliweza kuonekana kwa wazi kabisa.