MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,217
- 7,421
Habari wadau..
Hili swali najiulizaga sana hasa kwa kuangalia mifano hai toka enzi za kina Bob Sambeke, Ruge Mutahaba, Kelvin Twisa kaoa na zaidi ya 40 na wadau wengine kibao why hawaoi haraka haraka kama sisi maskini jeuri.
Je kuwahi kufanya ndoa na mwanamke ni kujirudisha nyuma au kujisogeza mbele. Maana wengi walioa nao wanalalamika tu kwamba wamekosea kuoa mapema na wachache wanafurahia ndoa zao.