Hivi wanawake tuna nini lakini, yaani wewe umeolewa na bado unamtafuta mume wa mwenzio na unalazimisha kumtumia meseji na asipo jibu unalalamika utadhani mumeo. Ukiulizwa si unamume wewe unasema eti hashiki simu yangu.
Jamani heshimuni ndoa zenu kama hueshimu yako heshimu basi ya mwenzio kumlazimisha mume wa mwezio na huku hataki sio vizuri. Tulieni kwa waume zenu. WANAUME SHIKENI SIMU ZA WAKE ZENU MUONE.